5. Chagua kampuni bora utayo tumia ku beti.

04 Jun, 2018

Uchaguzi wa kampuni bora yaku beti

Kuna kampuni nyingi sana za ku beti katika mtandao, kuchagua na kuweza kufahamu kwamba una beti katika kampuni madhubuti inaweza kuwa tatizo sana kwa wachezaji. 

Kukusaidia kufanya uchaguzi sahihi tume ainisha baadhi ya vigezo muhimu hapa chini:

Uchaguzi kampuni bora ya kubashiri matokeo mtandaoni

Kuweza kujihakikishia usalama wa fedha zako unazo shinda kwenye beti, ni muhimu kuchagua kampuni ambayo ipo kwenye biashara hii muda mrefu na pia iwe safi kwa maoni ya wachezaji.. 

Kwa ushauri tizama hapa Ratings of bookmakers.

Aina za michezo iliyopo

Kabda ya kujiunga kwenye kampuni yaku beti, tunakushaurib tizama ni michezo mibgapa ambayo imejumuishwa kwenye hiyo kampuni.

Matukio ya michezo

Baadhi ya kampuni hutoa matukio ya kubeti Zaidi ya 100 kwenye beti moja hii inafanya beti iwe na ladha zaidi.

Mrahaba (Odds) za kuvutia

Odds ndio zinzofanya beti uliyo fanya iwe na faida pindi unapo shinda, kwa mantiki hii inakulazimu kuchagua kampuni inayo toa odds (mrahaba) mkubwa

Bonansi

Kampuni nyingi za kubeti mtandaoni zinatoa aina mbali mbali za bonansi kwa wateja wao, itakubidi kutizama kampuni inayo toa bonansi bora Zaidi kwani hii itakusaidia kuongeza kiasi cha fedha kwa kutumia hizi bonansi

Huduma kwa wateja

Kupata majibu na utatuzi wa maswali mengi itakulazimu kuchagua kampuni ambayo inatoa huduma hii kwa masaa 24/7 na iwe inatumia njia nyingi Zaidi za mawasiliano.