Kama wewe ni mgeni na ndo kwanza unaanza ku beti na haufahamu kwa kuazia, basi jua hapa upo mahala sahihi kujifunza na kuwa bingwa
Beti katika michezo ni mjumuisho wa jumla ya kiasi cha fedha kinacho husiana na matokeo baada ya mechi au tukio la michezo
Kuweza kuwa bingwa wa ku beti ni muhimu ufahamu aina mbalimbali za ku beti
Kabda hujachagua kampuni yak u beti ,tizama kwanza ni kwanjia gani kampuni inajishindia
Kuna kampuni nyingi sana za ku beti katika mtandao, kuchagua na kuweza kufahamu kwamba una beti katika kampuni madhubuti inaweza kuwa tatizo sana kwa wachezaji
Ukiondoa bahati, kuna vidokezo na mbinu tofauti vingi sana ambazo ukizifahamu itakusaidia kuongeza uwezo wa kushinda na kujiongezea kipato kwa ku beti.