6. Fahamu baadhi ya vidokezo vya ku beti

04 Jun, 2018

Ukiondoa bahati, kuna vidokezo na mbinu tofauti vingi sana ambazo ukizifahamu itakusaidia kuongeza uwezo wa kushinda na kujiongezea kipato kwa ku beti. 

Hapa ni baadhi ya vidokezo muhimu kufahamu:

- Beti katika kiasi kidogo cha mechi

Uwezekano wa kushinda beti yako unapungua kutokana na kuongezeka kiasi cha mechi unazo weka kwenye mkeka. Tunashauri usizidishe meche 5 kwenye mkeka. Kama ukichagua kuanzia mechi 5 kushuka chini nafasi yako ya kushinda mkeka ni kubwa zaidi

- Unapo beti chagua odds zilizo za wastani

Hapa tunamaanisha huna haja ya kuchagua odd (mrahaba) mkubwa sana ambapo ki uhalisia kushinda nafasi ni finyu sana, jiepushe kutumia mrahaba (odds) zinazozidi 2

- Kuwa mvumilivu

Sisi sote tunahitaji kushinda kila siku,, Ila siku zote mshindi ni aliye na uvumilivu.Jiepushe ku beti katika kila mchezo au kila tukio unaloliona mbele yako, jaribu ku beti katika mchezo unao uelewa vizuri.

- Fuatilia utafiti wa timu kwa undani zaidi

Kabda hujachagua mechi ya ku beti, tunakushauri tizama mirahaba (odds), matokeo ya kila timu kwa mechi zake za nyuma,

- Fuatilia ukuaji wa klabu

Kwa kutizama ukuaji wa mirahaba, unaweza kupata njia ya kuwea beti yenye tija Zaidi.

- Tumia kwa busara mtaji wako

Hata siku moja usiache fedha unazoshinda kwenye akaunti yako ya ku beti.